21 February 2011
kassim bado yupo vizuri
Kasimu Mganga alikuwepo , hapa akiwarusha washiriki wa miss Utalii Arusha. katika shoo iliyofanyika Snowcrest Hotel na kudhaminiwa na TBL kupitia REDDs.
12 January 2011
ibada ya waliouawa na polisi
ibada ya kuwaaga waliouawa kwa kupigwa risasi na polisi Arusha, hapa ni viongozi wa chadema, maaskofu na masheikh. leo.
maelf wajitokeza uwanja wa NMC kuwaaga waliuawa kwa risasi Arusha
maelfu ya watu walivyojitokeza Arusha kuwaaga waliuawa na polisi kwenye maandamano ya chadema ya januari 5 2011.
safari ya mwisho ya makamanda Arusha
pichani ni Mwenyekiti wa chadema, Freeman Mbowe pamoja na mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema wakiwa wamebeba mwili wa Ismail Omar aliyeuawa kwa kupigwa risasi maandamano ya chadema ya januari 5 mjini Arusha.
06 January 2011
17 December 2010
05 December 2010
VITA dhidi ya UKIMWI na wanahabari
pichani ni waliokaa kwenye viti ni mbunge jimbo la Arusha,chadema Godbless Lema akiwa na mbunge chadema viti maalum mkoa Arusha ,Joyce Mukya, meneja wa PSI mkoa wa Arusha na Manyara, Chris Mbajo, mratibu wa TACAIDS mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa kampuni ya Ms Unique Mussa juma na mratibu wa semina Upendo Simwita ,picha hii ilipigwa mara baada ya kufunguliwa na Lema semina ya waandishi wa habari mkoa wa Arusha kuhusiana na ugonjwa wa UKIMWI semina hiyo iliandaliwa na kampuni ya ms unique promotion ya Arusha
Subscribe to:
Posts (Atom)
mbunge viti maalum wa chadema mkoa wa kilimanjaro,Lucy owenya akipaya kipigo cha polisi