19 October 2011

mauwaji ya kikabila Loliondo huyu ni mzee wa kimasai ambaye alipigwa risasi
mauwaji ya vita vya kikabila baina ya masai na wasonjo- Loliondo

20 March 2011

babu ambilikile yupo bz na dawa zake

Mchungaji mstaafu, Ambilikile Mwasapile akiwa kazini akiandaa dawa yake kabla ya kuwapa   wagonjwa

Kwa babu Loliondo hata masai na wasonjo wanafuata dawa

foleni kwa babu hata masai na wasonjo wanataka dawa

mti wa dawa ya babu loliondo

mti wa mungamuryogo au mugariga ambao unatumiwa na mchungaji msaafu Ambilikile Mwasapile anautumia kutibu magonjwa sugu huko samunge  loliondo wilaya ya Ngorongoro.

17 March 2011

wagonjwa wakifikishwa kwa babu Samunge wakiwa katika machela

wagonjwa ndani ya machela kwa babu loliondo

mwandishi nimepona VVU

nasema nimepona VVU, haya ni maneno ya Mjane, vilia John alipokuwa anahojiwa na mwandishi mussa juma kijiji cha Samunge machi 13 mwaka huu

nimepona ukimwi

Vilia John mkazi wa Samunge Loliondo wilaya ya Ngorongoro akieleza kupona VVU baada ya kutumia dawa za mchungaji ambilikile

huyu kapona ukimwi- mchungaji ambilikile

mchungaji Ambilikile mwasapie akimtambulisha mgonjwa wake wa kwanza kumtibu ugonjwa wa ukimwi, vilia John katika kanisa la KKKT usharika wa sonjo,  mach 13 mwaka huu.

hata Toyo zinafika kwa babu

nani kasema pikipiki za Toyo hazifiki kwa babu Loliondo, vijana hawa wametembelea km 305  toka arusha hadi kijiji cha Samungu Loliondo kunywa dawa

kunyweni dawa FFU

FFU akigawa kikombe kwa babu loliondo

mambo ya kwa babu Loliondo FFU akisaidia mgonjwa kupata kikombr

the media which a visit every day is mwananchi ,outside the count

07 March 2011

the media which a visit every day is mwananchi ,outside the count

21 February 2011

washiriki wa miss Utalii Taifa 2011 ndani ya arusha, Snow Crest Hotel kati kati presder Chipungahelo Gidion na Mussa Juma.

kassim bado yupo vizuri

Kasimu Mganga alikuwepo , hapa akiwarusha washiriki wa miss Utalii Arusha. katika shoo iliyofanyika Snowcrest Hotel na kudhaminiwa na TBL kupitia REDDs.
hawa walitangazwa kupendeza sana: kulia ni meneja wa Snowcrest kulia ni mkurugenzi ms unique akiwatangaza washindi

mambo ya mjini

mambo ya mjini Mhhhhhhh.
Zawadi ni Zawadi, Meneja matukio wa TBL Kanda ya Kaskazini Mashariki, George Mwombeki akimkabidhi zawadi Filex Mallah na mkewe , wa kwanza kulia mkurugenzi kampuni ya Ms Unique Mussa juma.
msanii wa kundi la boda to boda la Arusha akifaya vitu vyake katika shoo jijini Arusha, hotel ya Snow Crest iliyodhaminiwa na kampuni ya bia nchini TBL  kupitia kinywaji cha REDDs onyesho hili liliandaliwa na kampuni ya Ms Unique

12 January 2011

ibada ya waliouawa na polisi

ibada ya kuwaaga waliouawa kwa kupigwa risasi na polisi Arusha, hapa ni viongozi wa chadema, maaskofu na masheikh. leo.