Maoni Katiba.
Makamu Mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni ya Katiba: Jaji Mkuu mstaafu, Agostino Ramadhani akiwa kazini mkoani Manyara
20 September 2012
17 April 2012
31 October 2011
19 October 2011
20 March 2011
mti wa dawa ya babu loliondo
mti wa mungamuryogo au mugariga ambao unatumiwa na mchungaji msaafu Ambilikile Mwasapile anautumia kutibu magonjwa sugu huko samunge loliondo wilaya ya Ngorongoro.
17 March 2011
mwandishi nimepona VVU
nasema nimepona VVU, haya ni maneno ya Mjane, vilia John alipokuwa anahojiwa na mwandishi mussa juma kijiji cha Samunge machi 13 mwaka huu
nimepona ukimwi
Vilia John mkazi wa Samunge Loliondo wilaya ya Ngorongoro akieleza kupona VVU baada ya kutumia dawa za mchungaji ambilikile
huyu kapona ukimwi- mchungaji ambilikile
mchungaji Ambilikile mwasapie akimtambulisha mgonjwa wake wa kwanza kumtibu ugonjwa wa ukimwi, vilia John katika kanisa la KKKT usharika wa sonjo, mach 13 mwaka huu.
Subscribe to:
Posts (Atom)



