21 February 2011

washiriki wa miss Utalii Taifa 2011 ndani ya arusha, Snow Crest Hotel kati kati presder Chipungahelo Gidion na Mussa Juma.

kassim bado yupo vizuri

Kasimu Mganga alikuwepo , hapa akiwarusha washiriki wa miss Utalii Arusha. katika shoo iliyofanyika Snowcrest Hotel na kudhaminiwa na TBL kupitia REDDs.
hawa walitangazwa kupendeza sana: kulia ni meneja wa Snowcrest kulia ni mkurugenzi ms unique akiwatangaza washindi

mambo ya mjini

mambo ya mjini Mhhhhhhh.
Zawadi ni Zawadi, Meneja matukio wa TBL Kanda ya Kaskazini Mashariki, George Mwombeki akimkabidhi zawadi Filex Mallah na mkewe , wa kwanza kulia mkurugenzi kampuni ya Ms Unique Mussa juma.
msanii wa kundi la boda to boda la Arusha akifaya vitu vyake katika shoo jijini Arusha, hotel ya Snow Crest iliyodhaminiwa na kampuni ya bia nchini TBL  kupitia kinywaji cha REDDs onyesho hili liliandaliwa na kampuni ya Ms Unique