31 December 2014

Mwenyekiti ccm mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole kuwania ubunge jimbo la Longido

05 March 2014

wanafunzi IIburu wakiwa maabara

Haki ya kumiliki ardhi kwa wafugaji bado ni tatizo nchini hapa nyumba za wafugaji zikiwa zimechomwa moto wilayani Kiteto
jitihada za kuhitaji watalii tz zagusa falme za kiarabu.
Safari ya Matumaini imeanza ni muhimu kuhesabiwa:mwenyekiti CCM mkoa wa Arusha Onesmo Ole Nangole
Shida ya maji kiteto:hata maji ya kikombe ni muhimu
Taswa yapata viongozi wapya: waliokaa kati kati Mwenyekiti, Juma Pinto,kushoto Katibu msaidizi, Grace Hoka na Mweka Hazina, Shija Richard, kulia ni Katibu Mkuu, Amir Mhando na Mweka hazina msaidizi Zena Chande, waliosimama ni  wajumbe kamati Utendaji, Chacha Maginge, Mroki Mroki,Ibrahim Bakari, Mussa Juma, Leura Nyaulama na Mwani Nyanga.

01 February 2014

Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipotua Kiteto kusuluhisha mgogoro wa ardhi na kutaka wavamizi kuondoka eneo la hifadhi la Emburey Murtangos.anayemsalimia ni Mkuu wa wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla
watoto wa jamii ya kimasai kijiji cha Ngiligish wilayani Kiteto wakiwa wamepumzika nje ya nyumba yao iliyochomwa moto kutokana na mgogoro wa ardhi baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto mkoa wa Manyara
mkuu wa mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo, akifafanua mgogoro baina ya wakulima na wafugaji Kiteto na kueleza lazima serikali itawaondoa wavamizi wote
kamanda wa polisi mkoa wa Manyara, Akili Mpwapwa akielezea opereshemi za kusaka waliohusika na mauwaji ya wakulima 9 na mfugaji mmoja wilayani Kiteto, watu 12 tayari wamefikishwa mahakamani kwa mauwaji hayo, yaliyotokea januari 12 mwaka 2014
binti wa miaka 12 aliyeolewa akizungumza na waandishi pamoja na mkuu wa LHRC mkoa wa Arusha,Shilinde Ngalula
mkurugenzi halmashauri kiteto, akifafanua jambo
dc kiteto; martha umbula akifafanua juu ya mgogoro wa ardhi kiteto