22 September 2012

wafusia wa Chadema.

Pichani wa wafuasi wa Chadema wakisindikiza gari la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema mara baada ya kutoka mahakamani kusikiliza rufani yake.
wafuasi wa chadema:

Mahakamani hii ni baada ya kusogezwa mbele kusikilizwa rufani ya kupinga kuvuliwa ubunge mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema