17 March 2011
mwandishi nimepona VVU
nasema nimepona VVU, haya ni maneno ya Mjane, vilia John alipokuwa anahojiwa na mwandishi mussa juma kijiji cha Samunge machi 13 mwaka huu
nimepona ukimwi
Vilia John mkazi wa Samunge Loliondo wilaya ya Ngorongoro akieleza kupona VVU baada ya kutumia dawa za mchungaji ambilikile
huyu kapona ukimwi- mchungaji ambilikile
mchungaji Ambilikile mwasapie akimtambulisha mgonjwa wake wa kwanza kumtibu ugonjwa wa ukimwi, vilia John katika kanisa la KKKT usharika wa sonjo, mach 13 mwaka huu.
hata Toyo zinafika kwa babu
nani kasema pikipiki za Toyo hazifiki kwa babu Loliondo, vijana hawa wametembelea km 305 toka arusha hadi kijiji cha Samungu Loliondo kunywa dawa
Subscribe to:
Posts (Atom)