12 January 2011

ibada ya waliouawa na polisi

ibada ya kuwaaga waliouawa kwa kupigwa risasi na polisi Arusha, hapa ni viongozi wa chadema, maaskofu na masheikh. leo.

maelf wajitokeza uwanja wa NMC kuwaaga waliuawa kwa risasi Arusha

maelfu ya watu walivyojitokeza Arusha kuwaaga waliuawa na polisi kwenye maandamano ya chadema ya januari 5 2011.

safari ya mwisho ya makamanda Arusha

pichani ni Mwenyekiti wa chadema, Freeman Mbowe pamoja na mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema wakiwa wamebeba mwili wa Ismail Omar aliyeuawa kwa kupigwa risasi maandamano ya chadema ya januari 5 mjini Arusha.

06 January 2011

maandamano ya chadema Arusha kabla ya kusambaratishwa na polisi, watu watatu waliuawa kwa risasi

watuhumiwa wa maandamano wakisomewa mashitaka katika hospitali ya mkoa ya mount meru jana
  1. kijana akiwa hoi kwa kipigo na polisi katika vurugu za maandamano ya chadema juzi
the media which a visit every day is mwananchi ,outside the count
pole mchumba wa Dk slaa, hapa akipanda kwenye gari kupelekwa kituo kikuu cha polisi Arusha na amefunguliwa kesi tayari
hii ndio siasa naamini josephine Mushumbuzi mchumba wa Dk Slaa ameonja, hapa kapigwa na polisi katika vurugu za maandamano juzi mjini Arusha