19 November 2010

Dk Slaa na kura zake

Aliyekuwa mgombea urais wa chadema, Dk Wilbroad Slaa akipiga kura--- Je na kura yake hii ilichakachukuliwa Karatu.

1 comment:

  1. Huenda ikawa ndio sababu iliyosababisha Dk.Wilbrod Slaa kutoamini kama hata yeye alichakachuliwa nyumbani kwake na kwa uchungu akatangaza hadharani nia yake ya kutomtambua Rais Jakaya Kikwete.

    Siamini na sitaki kuamini kwamba iweje mgombea wa Chadema ashinde nafasi ya ubunge kwa chama chake yeye pamoja na madiwani halafu ghafla inageuka Rais kapewa mwingine lakini wabunge wa upinzani.

    Lazima kuna kitu hapa,yupo sahihi kutomtambua mpinzani wake kwa sababu ya hofu ya kutokuwepo kwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)Lo! tunahitaji mabadiliko ya katiba katika bunge la 10.

    http//:www.freysmushi.blogspot.com

    ReplyDelete