20 September 2012

Afisa utalii wa hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Seti Mihayo, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari na watalii mbali mbali jirani na Mto mara jinsi wanyama aina ya Nyumbu wanavyorejea Serengeti wakitokea Masai Mara zaidi ya nyumba 1.5 milioni wameanza kurejea.

picha na mussa juma

No comments:

Post a Comment