20 September 2012

Watalii wa kutoka nchini, Uholanzi Truby Wivbenga na Mumewe Jan Wivbenga wakiwa wanafuatilia makundi ya Nyumbu wakivuka mto Mara na kuingia kufadhi ya Serengeti yakitoka hifadhi ya Masai Mara nchini Kenya.

No comments:

Post a Comment