20 September 2012


 MAAJABU : Nyumbu wa Serengeti
pichani  moja ya makundi ya Nyumbu wakivuka Mto Mara kuingia katika hifadhi ya Taifaya Serengeti, wakitoa hifadhi ya Masai mara, tukio hili ni moja ya maajabu ya asili ya dunia.



No comments:

Post a Comment