20 September 2012

msaada wa fedha :
Mkurugenzi wa kampuni ya MS Unique Mussa Juma akipokea msaada wa sh 1.5 milioni toka kwa meneja  masoko wa kampuni ya Megatrade- Gudluck Kwai kwa ajili ya udhamini wa bonanza la waandishi wa habari mkoa wa Arusha.

No comments:

Post a Comment